Mazoezi shirikishi
Mazoezi kuanzia A1 hadi C2 - yafanye mara moja na ujue mara moja kama ulikuwa sahihi. Tumia kichujio kupata mazoezi unayotaka kufanya. Hapa huhitaji Action Points.
Mubashara: Kujitambulisha katika usaili wa kazi (B2)
2026.10.25 19:00Taswira ya kwanza ni muhimu – hasa katika usaili wa kazi. Pamoja tunafanya mazoezi ya jinsi ya kujitambulisha kwa Kijerumani na kujibu maswali kwa kujiamini. Jiunge nasi mubashara na uandike maswali yako kwenye gumzo!
mazoezi 1273
A2 · Kujaza mapengo
