Nataka kufanya mazoezi ya kuzungumza!
Unataka kuzungumza Kijerumani kwenye gumzo la video? Hapa utapata mtu wa kufanya naye mazoezi, 1:1 na kwa kubadilishana.
Mubashara: Kujitambulisha katika usaili wa kazi (B2)
2026.10.25 19:00Taswira ya kwanza ni muhimu – hasa katika usaili wa kazi. Pamoja tunafanya mazoezi ya jinsi ya kujitambulisha kwa Kijerumani na kujibu maswali kwa kujiamini. Jiunge nasi mubashara na uandike maswali yako kwenye gumzo!
Tafadhali ingia. Kisha unaweza kufanya mazoezi.
